Waamuzi 5:26 BHN

26 Kwa mkono mmoja alishika kigingi cha hema,na kwa mkono wake wa kulia nyundo ya fundi;alimponda Sisera kichwa,alivunja na kupasuapasua paji lake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 5

Mtazamo Waamuzi 5:26 katika mazingira