Waamuzi 6:14 BHN

14 Mwenyezi-Mungu akamgeukia, akamwambia, “Nenda kwa uwezo ulio nao, ukaikomboe Israeli kutoka Wamidiani. Ni mimi ninayekutuma.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 6

Mtazamo Waamuzi 6:14 katika mazingira