Waamuzi 6:27 BHN

27 Basi, Gideoni akachukua watumishi wake kumi, akafanya kama alivyoagizwa na Mwenyezi-Mungu. Lakini kwa kuwa aliiogopa jamaa yake na watu wa mjini, badala ya kufanya hayo mchana, alifanya wakati wa usiku.

Kusoma sura kamili Waamuzi 6

Mtazamo Waamuzi 6:27 katika mazingira