32 Siku hiyo wakamwita Gideoni “Yerubaali” maana yake, “Baali na ajitetee mbele yake”, maana aliibomoa madhabahu ya Baali.
Kusoma sura kamili Waamuzi 6
Mtazamo Waamuzi 6:32 katika mazingira