38 Ikawa hivyo, kwa maana alipoamka asubuhi kesho yake, alikamua umande uliokuwa juu ya ile ngozi, akajaza bakuli.
Kusoma sura kamili Waamuzi 6
Mtazamo Waamuzi 6:38 katika mazingira