19 Naye akawaambia, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu mzazi. Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kama msingewaua, hata mimi nisingewaua.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 8
Mtazamo Waamuzi 8:19 katika mazingira