Waamuzi 8:34 BHN

34 Waisraeli wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, aliyewakomboa kutoka kwa maadui zao wengi waliowazunguka kila upande.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:34 katika mazingira