5 Basi, akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali wapeni wenzangu hawa mikate maana wamechoka sana; nami bado ninaendelea kuwafuatia wafalme Zeba na Salmuna wa Midiani.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 8
Mtazamo Waamuzi 8:5 katika mazingira