Waamuzi 9:2 BHN

2 “Semeni papa hapa mbele ya wananchi wote wa Shekemu: Lipi ni jema kwenu, kwamba watoto wote sabini wa kiume wa Yerubaali wawatawale au mtoto mmoja? Kumbukeni kuwa mimi ni damu yenu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:2 katika mazingira