Waamuzi 9:25 BHN

25 Watu wa Shekemu waliweka washambulizi wamwotee Abimeleki kutoka vilele vya mlima. Watu hao waliwanyanganya mali zao wote waliopita huko. Abimeleki akaambiwa mambo hayo.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:25 katika mazingira