38 Kisha Zebuli akamwambia, “Majivuno yako yako wapi sasa? Si ni wewe uliyesema, ‘Abimeleki ni nani? Kwa nini tumtumikie?’ Sasa, hao ndio watu uliowadharau; nenda ukapigane nao.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 9
Mtazamo Waamuzi 9:38 katika mazingira