Waamuzi 9:40 BHN

40 Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:40 katika mazingira