Waamuzi 9:49 BHN

49 Kila mmoja akakata tawi kama lile la Abimeleki. Wakachukua matawi yao na kuyaegemeza kwenye kuta za ngome, wakayatia moto na kuichoma ngome; watu wote wanaume na wanawake wapatao 1,000 waliokuwa katika mnara wa Shekemu wakafa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:49 katika mazingira