Waamuzi 9:51 BHN

51 Lakini kulikuwa na mnara imara katikati ya mji. Basi, wakazi wote wa mji huo wanaume na wanawake wakakimbilia humo na kujifungia ndani. Wakapanda kwenye paa la mnara huo.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:51 katika mazingira