54 Kisha Abimeleki akamwita haraka kijana wake aliyembebea silaha akamwambia, “Chukua upanga wako uniue, wasije watu wakasema kuwa niliuawa na mwanamke.” Kijana akachukua upanga wake, akamchoma na kumuua.
Kusoma sura kamili Waamuzi 9
Mtazamo Waamuzi 9:54 katika mazingira