Yoeli 1:10 BHN

10 Mashamba yamebaki matupu;nchi inaomboleza,maana nafaka imeharibiwa,divai imetoweka,mafuta yamekosekana.

Kusoma sura kamili Yoeli 1

Mtazamo Yoeli 1:10 katika mazingira