Yoeli 1:11 BHN

11 Ombolezeni enyi wakulima;pigeni yowe enyi watunza mizabibu.Ngano na shayiri zimeharibika,mavuno yote shambani yameangamia.

Kusoma sura kamili Yoeli 1

Mtazamo Yoeli 1:11 katika mazingira