Yoeli 1:12 BHN

12 Mizabibu imenyauka;mitini imedhoofika;mikomamanga, mitende na mitofaa imekauka,naam miti yote shambani imekauka.Furaha imetoweka miongoni mwa watu.

Kusoma sura kamili Yoeli 1

Mtazamo Yoeli 1:12 katika mazingira