Zekaria 1:16 BHN

16 Kwa hiyo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, naurudia mji wa Yerusalemu kwa huruma; humo itajengwa nyumba yangu, na ujenzi mpya wa mji utaanza.’”

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:16 katika mazingira