15 Walakini nimechukizwa sana na mataifa ambayo yanastarehe. Kweli niliwakasirikia Waisraeli kidogo, lakini mataifa hayo yaliwaongezea maafa.
Kusoma sura kamili Zekaria 1
Mtazamo Zekaria 1:15 katika mazingira