1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika.Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua;ndiye awapaye watu mvua za rasharasha,na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote.
Kusoma sura kamili Zekaria 10
Mtazamo Zekaria 10:1 katika mazingira