11 Watapitia katika bahari ya mateso,nami nitayapiga mawimbi yake,na vilindi vya maji ya mto Nili vitakauka.Kiburi cha Ashuru kitavunjwana nguvu za Misri zitatoweka.
Kusoma sura kamili Zekaria 10
Mtazamo Zekaria 10:11 katika mazingira