Zekaria 10:10 BHN

10 Nitawarudisha kutoka nchini Misri,nitawakusanya kutoka Ashuru;nitawaleta nchini Gileadi na Lebanoni,nao watajaa kila mahali nchini.

Kusoma sura kamili Zekaria 10

Mtazamo Zekaria 10:10 katika mazingira