Zekaria 10:9 BHN

9 Japo niliwatawanya kati ya mataifa,hata hivyo, watanikumbuka wakiwa humo.Nao pamoja na watoto wao wataishina kurudi majumbani mwao.

Kusoma sura kamili Zekaria 10

Mtazamo Zekaria 10:9 katika mazingira