Zekaria 10:4 BHN

4 Kwa ukoo wa Yuda kutatokea:Watawala wa kila namna,viongozi imara kama jiwe kuu la msingi,walio thabiti kama kigingi cha hema,wenye nguvu kama upinde wa vita.

Kusoma sura kamili Zekaria 10

Mtazamo Zekaria 10:4 katika mazingira