Zekaria 10:5 BHN

5 Watu wa Yuda watakuwa kama mashujaa vitaniwatawakanyaga maadui zao katika tope njiani.Watapigana kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo pamoja nao;nao watawaaibisha hata wapandafarasi.

Kusoma sura kamili Zekaria 10

Mtazamo Zekaria 10:5 katika mazingira