12 Kisha nikawaambia, “Kama mnaona kuwa ni sawa, nilipeni ujira wangu; lakini kama mnaona sivyo, basi kaeni nao.” Basi, wakanipimia vipande thelathini vya fedha mshahara wangu.
Kusoma sura kamili Zekaria 11
Mtazamo Zekaria 11:12 katika mazingira