Zekaria 11:13 BHN

13 Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Ziweke katika hazina ya hekalu.” Mshahara huo ulikuwa ni malipo halali kwa kazi yangu. Hivyo nikachukua hivyo vipande thelathini vya fedha, nikazitia katika hazina ya hekalu la Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Zekaria 11

Mtazamo Zekaria 11:13 katika mazingira