5 Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma.
Kusoma sura kamili Zekaria 11
Mtazamo Zekaria 11:5 katika mazingira