9 Basi, nikawaambia, “Sitakuwa mchungaji wenu tena. Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
Kusoma sura kamili Zekaria 11
Mtazamo Zekaria 11:9 katika mazingira