Zekaria 11:8 BHN

8 Kwa muda wa mwezi mmoja, nikaua wachungaji watatu wabaya. Tena uvumilivu wangu kwa kondoo ukaniishia, nao kwa upande wao, wakanichukia.

Kusoma sura kamili Zekaria 11

Mtazamo Zekaria 11:8 katika mazingira