Zekaria 11:7 BHN

7 Basi, nikawa mchungaji wa kondoo waliokuwa wanakwenda kuchinjwa, kwani niliajiriwa na wale waliofanya biashara ya kondoo. Nikachukua fimbo mbili: Moja nikaiita “Fadhili,” na nyingine nikaiita “Umoja,” nikaenda kuchunga kondoo.

Kusoma sura kamili Zekaria 11

Mtazamo Zekaria 11:7 katika mazingira