Zekaria 12:11 BHN

11 Siku hiyo kutakuwa na maombolezo makuu mjini Yerusalemu kama maombolezo ya kumwombolezea Hadad-rimoni katika mbuga za Megido.

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:11 katika mazingira