Zekaria 12:12 BHN

12 Nchi itaomboleza, kila ukoo utaomboleza peke yake, wanaume peke yao na wanawake peke yao; ukoo wa Daudi peke yake; ukoo wa Nathani peke yake;

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:12 katika mazingira