7 “Nami Mwenyezi-Mungu nitawasaidia kwanza jamaa za Yuda kusudi wazawa wa Daudi na wakazi wa Yerusalemu wasijione kuwa maarufu zaidi ya watu wengine wa kabila la Yuda.
Kusoma sura kamili Zekaria 12
Mtazamo Zekaria 12:7 katika mazingira