Zekaria 12:6 BHN

6 “Siku hiyo, viongozi wa Yuda nitawafanya kama chungu cha moto mkali katika msitu; naam, kama mwenge uwakao kati ya miganda. Watayateketeza mataifa yote yaliyo kandokando yao. Lakini watu wa Yerusalemu wataendelea kuishi salama katika mji wao.

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:6 katika mazingira