Zekaria 12:5 BHN

5 Ndipo viongozi wa Yuda watakapoambiana, ‘Wakazi wa Yerusalemu wamepata nguvu yao kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wao’.

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:5 katika mazingira