Zekaria 12:4 BHN

4 Siku hiyo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, nitamtia hofu kila farasi, na mpandafarasi wake nitamfanya kuwa mwendawazimu. Farasi wa mataifa mengine nitawapofusha. Lakini kabila la Yuda nitalilinda.

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:4 katika mazingira