3 Siku hiyo nitaufanya mji wa Yerusalemu kuwa kama jiwe zito kwa watu wote: Yeyote atakayelinyanyua atajiumiza mwenyewe. Watu wa mataifa yote duniani wataushambulia mji huo.
Kusoma sura kamili Zekaria 12
Mtazamo Zekaria 12:3 katika mazingira