12 Watu wa Yuda watakuwa tena mali ya pekee ya Mwenyezi-Mungu katika nchi takatifu, na mji wa Yerusalemu utakuwa tena mji wake aliouchagua.
Kusoma sura kamili Zekaria 2
Mtazamo Zekaria 2:12 katika mazingira