2 Akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu. Juu yake kuna bakuli la mafuta na taa saba, na kila moja ina mahali pa kutilia tambi saba.
Kusoma sura kamili Zekaria 4
Mtazamo Zekaria 4:2 katika mazingira