Zekaria 6:1 BHN

1 Niliona maono mengine tena. Safari hii, niliona magari manne ya farasi yakitoka katikati ya milima miwili ya shaba nyeusi.

Kusoma sura kamili Zekaria 6

Mtazamo Zekaria 6:1 katika mazingira