7 Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuikagua dunia. Naye malaika akawaambia, “Haya! Nendeni mkaikague dunia.” Basi, wakaenda na kuikagua dunia.
Kusoma sura kamili Zekaria 6
Mtazamo Zekaria 6:7 katika mazingira