Zekaria 8:10 BHN

10 Kabla ya wakati huo, watu hawakupata mshahara kwa kazi zao wala kwa kukodisha mnyama. Hamkuwa na usalama kwa sababu ya adui zenu, maana nilisababisha uhasama kati ya watu wote.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:10 katika mazingira