Zekaria 8:9 BHN

9 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Jipeni moyo! Sasa mnayasikia maneno ambayo mlitangaziwa na manabii wakati ulipowekwa msingi wa hekalu langu, kulijenga upya.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:9 katika mazingira