Zekaria 8:2 BHN

2 “Ninawaka upendo mkuu kwa ajili ya Siyoni, na ninawaka ghadhabu nyingi dhidi ya adui zake. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema hayo.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:2 katika mazingira