Zekaria 8:21 BHN

21 Wakazi wa mji mmoja watawaendea wakazi wa mji mwingine na kuwaambia, ‘Twendeni pamoja kumwabudu Mwenyezi-Mungu wa majeshi na kumwomba baraka!’

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:21 katika mazingira