Zekaria 8:22 BHN

22 Naam, mataifa yenye nguvu na watu wengi watakuja Yerusalemu kuniabudu mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi na kuniomba baraka.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:22 katika mazingira