13 Yuda nitamtumia kama uta wangu;Efraimu nimemfanya mshale wangu.Ee Siyoni! Watu wako nitawatumia kama upangakuwashambulia watu wa Ugiriki;watakuwa kama upanga wa shujaa.”
Kusoma sura kamili Zekaria 9
Mtazamo Zekaria 9:13 katika mazingira