Zekaria 9:14 BHN

14 Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake;atafyatua mishale yake kama umeme.Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta;atafika pamoja na kimbunga cha kusini.

Kusoma sura kamili Zekaria 9

Mtazamo Zekaria 9:14 katika mazingira